Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2013

XAVI AMKANA BALE, ADAI THAMANI HAIWEZI KUFIKA MILIONI 90

Picha
Kiungo huyo wa Hispania amenukuliwa akisema kwamba bado hajamuangalia vizuri nyota huyo wa Spurs kiasi cha kumfanya kutoa maoni yake kuhusu kutakiwa kwake na Real Madrid.

ZIMBABWE KUPATA UTAWALA MPYA

Picha
Raia wa Zimbabwe wanapiga kura katika uchaguzi wa Urais unaotajwa kuwa na ushindani mkali huku kukiwa na madai ya udanganyifu. Rais Robert Mugabe wa miaka 89 amesema atang'atuka ikiwa yeye na chama chake cha Zanu-PF watashindwa.

YANGA YAUMBUKA, VILABU LIGI KUU VYAWAKALIA KOONI

Picha
SIKU moja baada ya uongozi wa Yanga kugomea haki za Ligi Kuu Tanzania Bara kuhodhiwa na Azam TV, uongozi wa Azam Media unaomiliki televisheni hiyo, umesema kujitoa kwa timu hiyo hakuna athari katika mchakato wa suala hilo ambalo limepokewa kwa furaha na klabu nyingine za ligi hiyo.

SIMBA YATANGAZA MAUZO YA MWINYI KAZIMOTO

Picha
Klabu ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam imesema kuwa thamani ya kiungo wake nyota, Mwinyi Kazimoto (Pichani), ambaye hivi karibuni alidaiwa kutoroka na kwenda Qatar kufanya majaribio katika klabu ya Lekwhiya inayoshiriki ligi kuu ya nchi hiyo ni dola za Marekani 100,000 (Sh. milioni 160).

OWINO AIBUKIA ULINZI YA KENYA

Picha
Mabingwa wa Ligi Kuu ya Kenya mwaka 2010 (KPL) Ulinzi Stars wameteua kikosi kikali cha wachezaji 20 kinachochanganya ujana na ujuzi kwa ajili ya Michezo ya Wanajeshi Afrika Mashariki itakayoandaliwa Nairobi wiki ijayo.

YANGA WAFURUSHWA MCHANA KWEUPEE LOYOLA

Picha
UONGOZI wa sekondari ya Loyola, Mabibo, Dar es Salaam umeizuia klabu ya Yanga SC (Pichani) kufanya mazoezi kwenye Uwanja wake, ili kupisha maandalizi ya sherehe maalum za shule hiyo wiki hii.

ANCELOTTI AKWEPA MJADALA WA MAKIPA

Picha
Carlo Ancelotti  Mkufunzi mpya wa Real Madrid Carlo Ancelotti alisema Jumamosi kuwa hataingizwa kwenye mjadala kuhusu nani kipa wake nambari moja, na kusema ana furaha kuwa na kipa mkongwe wa Uhispania Iker Casillas na Diego Lopez "makipa wawili wazuri." "Sijui. La muhimu zaidi ni kwamba tuna makipa wawili wazuri na wenye uzoefu mwingi na stadi sana.

BAYERN MUNICH YAIPA CHELSEA PAUNI MILIONI 40 KWA AJILI YA DAVID LUIZ

Picha
KLABU ya Bayern Munich imepanga kufufua mpango wa kumsajili David Luiz (Pichani) na imeandaa dau la Pauni Milioni 40 kuhakikisha inamnasa.

KABURU SASA KUMVAA RAGE

Picha
ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ (Pichani) , amesema ana imani bado ana umuhimu katika klabu hiyo na atashiriki uchaguzi ujao kama Mungu atamjalia uzima na afya.

YANGA USO KWA USO NA MTIBWA UWANJA WA TAIFA, J,TANO

Picha
MABINGWA wa Ligi Kuu Vodacom Yanga (Pichani) wanatarajiwa kushuka dimbani Jumatano hii kumenyana na Mtibwa Sugar katika mechi ya kirafiki utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

KING MAJUTO AIBUKA TENA NA MBOTO

Picha
Mchekeshaji mkongwe nchini, Amri Athuman 'King Majuto' (Pichani) ameibuka tena na filamu iitwayo 'Tikisa' ambayo inaendelea kutikisa katika soko la filamu Tanzania.

COASTAL UNION YAZITISHA SIMBA, YANGA NA AZAM, YAIPA KIPIGO SIMBA MKWAKWANI

Picha
Simba ya Dar es Salaam jana ilishindwa kufungua makucha yake wakati ilipokubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Coastal Union (Pichani) katika mechi ya kirafiki ya kujiandaa na msimu mpya kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

YANGA WAENDELEA KUIPINGA AZAM TV

Picha
Uongozi wa klabu ya Yanga leo umefanya mkutano na waandishi wa habari juu ya urushwaji wa michezo yake ya Ligi Kuu katika kituo cha luninga cha Azam ambacho kimeingia makubaliano na kamati ya Ligi Kuu  kuonyeshwa michezo yote ya ligi kwa kipindi cha miaka miatatu (3).

PATA PICHA LA PAMBANO LA JANA KATI YA TAIFA STARS NA UGANDA CRANES AMBAPO STARS ILILALA 3-1

Picha
Wachezaji wa timu ya taifa 'Taifa Stars' na Uganda Cranes wakiingia uwanjani tayari kwa kuanza mechi yao ya kufuzu kucheza Chan iliyofanyika kwenye uwanja wa Mandela, Namboole mjini Kampala.

MKIMBIAJI KENYA AZIRAI UWANJANI

Picha
Cheptai akipewa huduma ya kwanza Mwanariadha wa Kenya wa mbio za masafa marefu Irine Chebet Cheptai amekimbizwa hospitalini baada ya kuzirai katika mbio za uwanja wa Olimpiki.

GOR MAHIA YAZIDI KUPETA KENYA

Picha
Teddy Akumu  Gor Mahia walipanua pengo kati yao na wapinzani wao kileleni mwa Ligi Kuu ya Kenya kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Karuturi Sports kwenye mechi iliyochezewa uwanja wa City mnamo Jumamosi.

GARETH BALE AKOSA KUWEKA REKODI YA DUNIA

Picha
NYOTA wa Tottenham, Gareth Bale amekasirika baada ya klabu yake kupiga chini ofa ya kuvunja rekodi ya dunia ya usajili kwa ajili yake Pauni Milioni 82 kutoka Real Madrid.

KASEJA ATOBOA SIRI YA KIPIGO CHA JANA

Picha
NAHODHA wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Juma Kaseja (Pichani akiangalia mpira ukitinga kimiani)  amewataka mashabiki wa soka nchini kubadilisha mitazamo yao kwamba wachezaji chupikizi ndiyo wanaofaa kuliko wakongwe.

KOCHA YANGA AWACHIMBA MKWARA NYOTA WAPYA

Picha
Benchi la ufundi la Yanga limewataka wachezaji wapya wa timu hiyo kuonysha uwezo wao mazoezini ili kumshawishi kocha kuwapa nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo badala ya kutegemea mtelemko kwenye kupata namba kwa sababu tu ni wapya.

KIBADEN AIHOFIA RHINO RANGERS, ADAI ITAWAKAMIA

Picha
Kocha wa klabu ya Simba, Abdallah Kibadeni (Pichani), amesema kupangwa kufungua dimba la msimu mpya wa ligi kuu ya Bara dhidi ya Rhino Rangers iliyopanda daraja ni mechi ngumu kwake kwa sababu timu ngeni huwa na kawaida ya kupania.

BARCELONA YASISITIZA FABREGAS HAUZWI

Picha
Cesc Fabregas Naibu rais wa Barcelona Josep Maria Bartomeu amesisitiza kuwa Barcelona haitamuuza Cesc Fabregas kwa Manchester United, bila kujali bei.

MAN UNITED YANUSURIKA KICHAPO

Picha
Bao la dakika za lala salama kutoka kwa Wilfried Zaha liliokoa Manchester United kutoka kwa kichapo cha aibu cha tatu katika ziara yao ya kipindi cha kabla ya msimu bara Asia mnamo Ijumaa, na kutoka sare 2-2 na Cerezo Osaka timu aliyochezea Shinji Kagawa katika Ligi-J.

SIMBA YAWAFUATA BOBAN NA NYOSSO TANGA

Picha
SIMBA SC inasafiri hadi Tanga kwa ajili ya mfululizo wa mechi za kujiandaa na msimu, itakapomenyana na wenyeji Coastal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani kesho jioni.

STARS TAYARI KUVAANA NA UGANDA, KAPOMBE AITUMIA SALAMU

Picha
SAA chache kabla haijashuka dimbani, Uwanja wa Mandela, Namboole mjini hapa, kumenyana na wenyeji Uganda, timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars (Pichani) imetumiwa salamu za heri na beki wake, Shomary Kapombe aliye Uholanzi kwenye majaribio.

AZAM TV YAJITWISHA LIGI KUU

Picha
KAMATI ya Ligi Kuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), jana ilisaini makubaliano ya kuuza haki za kuonesha mechi za Ligi Kuu kwa Kampuni ya Azam Media Ltd kupitia kituo cha televisheni cha Azam Tv kwa kipindi cha misimu mitatu, kuanzia msimu huu wa 2013/14.

WALIOTEMWA SIMBA WAIBUKIA MTIBWA SUGAR

Picha
Mshambuliaji aliyeshindwa kupata namba katika kikosi cha kwanza cha Simba msimu uliopita Abdallah Juma (Pichani), amejiunga na timu ya Mtibwa Sugar inayoshiriki ligi kuu ya Bara ijayo pamoja na beki Paul Ngalema ambaye wamejiunga naye wote kwenye timu hiyo.

SIMBA BADO HAIJAPATA BEKI WA KATI-KIBADEN

Picha
Kocha wa klabu ya Simba, Abdallah Kibadeni (Pichani), amesema kikosi chake kipo tayari kwa ligi kuu ya Bara lakini bado anahitaji beki wa kati mwenye uwezo mkubwa.

KIMEELEWEKA, HATIMAYE FABREGAS KUNUKIA MAN UNITED

Picha
KIUNGO Cesc Fabregas amewaambia rafiki zake England kwamba anataka kuondoka Barcelona kuhamia Manchester United.

KIKWETE AZIONYA RWANDA NA MALAWI, ASEMA JESHI LIKO TAYARI KWA MAPAMBANO

Picha
Rais Jakaya Kikwete ametuma ujumbe kwa wale wanaoitishia Tanzania. Amewaambia wakithubutu watakiona cha mtemakuni kama ilivyokuwa kwa Idd Amin wa Uganda.

MASIKINI, YANGA KIMENUKA, KIONGOZI WAO AACHIA NGAZI....

Picha
Mkurugenzi wa Fedha wa Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Denis Oundo amejiuzulu nafasi hiyo miezi 10 tangu alipoajiriwa kuongoza Idara ya Fedha Jangwani.

HUMUD SAFI SIMBA, KULAMBA MAMILIONI KUICHEZEA MSIMU UJAO

Picha
Kiungo mkabaji wa zamani Azam FC, Abdulhalim Humoud (Pichani) ameibukia Simba akisaka nafasi ya kusajiliwa kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.

LADY JAYDEE KUVAMIA JIJI LA ARUSHA, KULA IDD NA MASHABIKI WAKE

Picha
Nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura (Pichani)  anatarajia kuadhimisha miaka 13 ya uwapo wake kwenye tasnia ya muziki jijini Arusha siku ya Eid Mosi na Eid Pili.

STARS YAAPA KUIGALAGAZA UGANDA KESHO

Picha
Nahodha wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) (Pichani), Juma Kaseja, amesema wamejiandaa kubadili matokeo kwa kushinda dhidi ya wenyeji Uganda (The Cranes) katika mechi ya marudiano ya kuwania kufuzu kwa fainali zijazo za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (CHAN) na hivyo kutibua rekodi ya wenyeji ya kutowahi kufungwa nyumbani katika mechi yoyote ya michuano tangu mwaka 2005.

NEEMA KUBWA YAMWANGUKIA KASEJA

Picha
  Kipa chaguo la kwanza wa timu ya taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars), Juma Kaseja (Pichani) , ambaye hivi sasa yuko huru baada ya kumaliza mkataba wake wa kuidakia Simba amepata ofa nono ya dola za Marekani 30,000 (Sh. milioni 50) kutoka kwa klabu ya FC Lupopo inayoshiriki Ligi Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ili aanze kuitumikia msimu ujao, imefahamika.

MASIKINI STARS YAPATA PIGO UGANDA, KUMKOSA MSHAMBULIAJI WAKE HATARI

Picha
KIUNGO mshambuliaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Khamis Mcha ‘Vialli’  (Pichani) anaweza kuikosa mechi dhidi ya Uganda keshokutwa kuwania tiekti ya kucheza Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN), zinazohusisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao pekee dhidi ya Uganda, The Cranes.

VALENCIA YAMPANDIA DAU CHICHARITO, MAN U WAINGIA MCHECHETO

Picha
KLABU ya Valencia inamtaka mshambuliaji wa Manchester United, Javier Hernandez maarufu kama Chicharito (Pichani) kwa mkopo.

TPBO, PST WALUMBANA KUMGOMBEA CHEKA, MWENYEWE AFURAHIA

Picha
Kitendo cha bondia Francis ‘SMG’ Cheka (Pichani) kusaini mkataba wa kupigana na mmalawi, Chiotcha Chimwemwe kimeibua ‘bifu’ baina ya viongozi wawili wa vyama vya ngumi za kulipwa Tanzania vya TPBO Limited na PST.

BREKING NEWS: HAMISI KIIZA HUYOOOO COASTAL UNION.......

Picha
Coastal Union ya Tanga, imeendelea na dhamira yake ya kuvibomoa vigogo vya soka nchini, baada ya juzi kupiga hodi Yanga wakitaka kumsajili mshambuliaji asiyetulia Jangwani, Mganda Hamis Kiiza (Pichani).

HASSANOO SASA JELA INAMUITA

Picha
Shahidi Solomon Makogo ambaye ni Afisa Utumishi wa Kampuni ya Liberty Express ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutunamna wizi wa shaba wenye thamani ya Sh. milioni 400 ulivyofanyika katika kesi inayomkabili katibu wa zamani wa Simba na mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Pwani (COREFA), Hassan Hassanol 'Hassanoo' (43)  (Pichani) pamoja na wenzake watatu.

KLABU LIGI KUU ZAPONDA RATIBA, ZADAI AZAM IMEBEBWA

Picha
Mkurugenzi wa Coastal Union, Nassor Binslum Baadhi ya klabu za Ligi Kuu ya Tanzania Bara zimeponda vikali ratiba ya ligi hiyo msimu ujao wa 2013/2014 iliyotolewa juzi na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kudai kuwa imejaa kasoro nyingi za kiufundi ikiwa ni pamoja na kuonekana ikizipa unafuu baadhi ya timu ikiwamo ya Azam.

POULSEN AENDELEA KUMBEBA JUMA KASEJA

Picha
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Kim Poulsen amesisitiza kuwa kipa na nahodha wa timu hiyo, Juma Kaseja (Pichani) bado yuko katika kiwango cha juu na ndiye chaguo lake la kwanza licha ya kuachwa na klabu yake ya Simba katika kikosi chao cha msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

RT KUJADILI KATIBA YAO JULAI 27 MORO

Picha
WAKATI Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), likiwa limekamilisha rasimu ya katiba yake, Kamati ya Utendaji ya Shirikisho hilo inatarajiwa kukutana Julai 27 mjini Morogoro kwa ajili ya kuipitia kabla ya kuwasilishwa kwenye mkutano mkuu.

RODGERS KUMBAKISHA SUAREZ LIVERPOOL

Picha
Brendan Rodgers Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers anatarajia Luis Suarez asalie katika klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Uingereza msimu ujao lakini hajafutilia mbali uwezekano kwamba straika huyo wa Uruguay huenda akauzwa kwa bei ifaayo.

ROONEY SASA KUTUA ARSENAL

Picha
MSHAMBULIAJI Wayne Rooney (Pichani)  ataamua kwenda Arsenal iwapo tu ndoto zake za kufanya kazi na Jose Mourinho Chelsea litabuma.

TP MAZEMBE KUMRUDISHA MBWANA SAMATTA SIMBA AGOSTI 8

Picha
SIMBA SC jana imeingia kambini Bamba Beach Hotel, Kigamboni, Dar es Salaam kujiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, inayotarajiwa kuanza Agosti 24, mwaka huu.

AZAM YAIENDEA YANGA 'SAUZI' AGOSTI 2

Picha
SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) limebariki ziara ya Azam FC (Wakiwa pichani) nchini Afrika Kusini kujifua kwa wiki mbili kabla ya kurejea tayari kwa msimu mpya wa Ligi Kuu itakayoanza Agosti 24.

RAGE AFUTA NDOTO YA SIMBA KUMILIKI UWANJA WAKE, KAULI YAKE YAZUA UTATA CCM

Picha
Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage (Pichani) ameifuta ndoto ya klabu hiyo kuwa na uwanja wake, baada ya kusema haiwezekani uongozi wake kujenga uwanja katika miaka miwili wakati Serikali imejenga Uwanja wa Taifa kwa miaka 50.

SIMBA YAINGIZWA MKENGE, YATOSA NYOTA WAKE WOTE WA KIGENI

Picha
Mussa Mudde kulia akiwa na aliyekuwa makamu mwenyekiti wa Simba Nyange Kaburu Uongozi wa klabu ya Simba umewatosa jumla wachezaji wote wa kigeni waliokuwa wakijaribiwa kwa matumaini ya kuwamo katika kikosi chao cha Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu ujao (2013/2014) huku pia ikisitisha mkataba wa Mganda Musa Mude aliyeichezea timu yao msimu uliopita, imeelezwa jana.

WACHEZAJI WA NIGERIA WAPIGWA MARUFUKU MAISHA KUJIHUSISHA NA SOKA

Picha
Wachezaji na maafisa wa vilabu waliohusishwa na kupanga mechi ambazo hatimaye zilimalizika kwa mabao 79-0 na 67-0 wamepigwa marufuku maisha

BARCELONA YAMTANGAZA GERARDO MARTINO KUWA KOCHA MPYA, SASA KUENDELEZA PASI ZA VILANOVA

Picha
KLABU ya Barcelona imefikia makubaliano na Muargentina, Gerardo Martino (Pichani) kuwa kocha wao mpya.