Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2013

CLOUDS KUGHARAMIA KULETA MWILI WA NGWEA DAR KESHO

Picha
Baada ya kumalizika kwa uchunguzi, uliokuwa ukifanyika  katika hospitali ya Hillbrow, mwili wa marehemu Albert  Mangwea(Pichani) unatarajiwa kuwasili Jumamosi kwa ndege ya Shirika la Ndege la Afrika ya kusini, ukitokea nchini Afrika ya kusini.

Valencia expect no UCL favour

Picha
Ernesto Valverde  Valencia coach Ernesto Valverde has said his side must assume they will have to win away to Sevilla on Saturday if they are to secure fourth place and Champions League qualification for next season. Los Che go into the final day of the Spanish season two points ahead of Real Sociedad, who travel to relegation-threatened Deportivo la Coruna.

Zana za Hizbollah zapatikana Nigeria

Picha
Jeshi lilisema kuwa silaha hizo zilikuwa zimefichwa chini ya vumbi la mbao Karakana ya silaha inayoaminika kumilikiwa na kundi la Hezbollah, nchini Lebanon imapatikana Kaskazini mwa Nigeria.

Mwili wa Ngwair kuwasili kesho

Picha
Na Sharifa Marira Msanii wa bongofleva Albert Mangwea aliyefariki Jumanne nchini Afrika Kusini Shirikisho la Muziki Tanzania kwa kushirikiana na Kamati ya Kuratibu Mazishi ya msanii wa bongofleva Albert Mangwea aliyefariki Jumanne nchini Afrika Kusini, limesema taratibu za kusafirisha mwili wa marehemu kuja nchini zinafanyika na mwili huo utawasili nchini kesho.

AKINA MBIYAVANGA WAONDOLEWA TENA NA KIBADEN SIMBA

Picha
Kocha mpya wa timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Abdallah 'King' Kibadeni   Wakati kocha mpya wa timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Abdallah 'King' Kibadeni akiahidi kuanza kurejesha heshima ya kikosi hicho katika mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame), tayari amewapiga 'panga' wachezaji wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambao walikuwa wakifanya majaribio.

Balozi Ethiopia awatembelea Stars

Picha
Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Joram Biswaro   Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Joram Biswaro amewataka wachezaji wa Taifa Stars kuhakikisha wanaipeleka timu hiyo kwenye fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwakani nchini Brazil

ARSENAL SASA WAINYIMA RAHA KABISA MAN UNITED KATIKA DILI LA FABREGAS

Picha
KLABU ya Manchester United inaweza kulazimika kutoa fedha nyingi ili kumpata Cesc Fabregas, kutokana na Barcelona kuwa tayari kuwauzia mchezaji huyo Arsenal kwa nusu bei kulingana na makubaliano yao wakati anahamia Nou Camp.  Inamaanisha Barcelona ingeweza kumuuza kwa Pauni Milioni 70 mchezaji huyo, lakini T he Gunners wanaweza kupewa ofa ya kumsajili kwa Pauni Milioni 20, hivyo United lazima wapande dau.   United ina nia thabitio ya kumsajili kiungo huyo wa Hispania, lakini Arsenal sasa ndio imeshikilia mustakabali wa dili hilo na ndiyo wataamua kama kocha mpya David Moyes atampata nyota huyo au la.  Njaini: Cesc Fabrgeas anatakiwa Man United 

REAL MADRID YATOA PAUNI MILIONI 40 KUMNASA SUAREZ

Picha
MSHAMBULIAJI Luis Suarez inaonekana yuko njiani kuondoka Anfield baada ya jana usiku, kuibuka madai kwamba Real Madrid imetoa ofa ya Pauni Milioni 40 kumhamishia Bernabeu. Kiasi cha saa 24 baada ya mpachika mabao huyo wa Liverpool kuiambia Redio ya Uruguay itamuwia vigumu kuwakatalia Madrid wakimtaka, gazeti maarufu Hispania, Marca limeripoti kwamba makubaliano yamefikiwa kumfanya awe mchezaji wa Real.  Liverpool wamekasirishwa na habari za kwamba Real imeanza mchakato wa kumsajili Suarez bila kuwasiliana na klabu ya mchezaji huyo. Imesema Suarez atakuwa amekiuka mkataba wake kufanya mazungumzo na Real bila ridhaa ya klabu.

TUJIKUMBUSHE ZAMANI

Picha
MUSSA HASSAN MGOSI Aliyefanikiwa kuzima ngebe za Yanga, Apigiwa chapuo arejeshwe Simba Na Exipedito Mataruma NI kweli klabu ya Simba haijawahi kuwa na straika mwenye bahati ya kuzima ngebe za Yanga kwa muda mrefu, Ni kweli Simba inahitaji mshambuliaji mwenye shabaha kama ilivyokuwa kwa mshambuliaji Mussa Hassan Mgosi.

Wachezaji wageni Ligi Kuu kubanwa

Picha
Dar es Salaam. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limesema litakutana na klabu za Ligi Kuu kuzikumbusha azimio la mwaka jana la mjini Bagamoyo kuhusu wachezaji wa kigeni.

La Liga braces for nerve-wracking finale

Picha
Roberto Soldado  Champions Barcelona have the chance finish with a record-equalling 100 points in La Liga's final round of matches, but the main drama will be in the fight to avoid the three relegation berths on Saturday.

Urusi yaikabidhi Syria 'zana za kivita'

Picha
Urusi yaikabidhi Syria 'zana za kivita' Makombora Syria imepokea ngao za kwanza kutoka kwa Urusi, za kuikinga nchi hiyo dhidi ya mashambulizi ya makombora ya angani. Hii ni kwa mujibu wa rais wa nchi hiyo, Bashar al-Assad.

YANGA WAKABIDHIWA SHILINGI MILLIONI 25 ZA ZAWADI YA UBINGWA WA VODACOM NA KILIMANJARO

Picha
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe kushoto akimkabidhi mfano wa hundi Katibu Mkuu wa Young Africans Lawrence Mwalusako leo katika hafla iliyofanyika katika kiwanda cha bia TBL iIlala

HATIMAYE JOSE MOURINHO ASAINI MKATABA WA MIAKA MINNE KUJIUNGA TENA NA CHELSEA

Picha
JOSE MOURINHO ni boss mpya wa Chelsea — na hiyo ni rasmi kwa mujibu wa gazeti la The Sun!

Masikini Ngwair Kifo chake utata mtupu

Picha
Na Mwandishi wetu     Albert Mangwair (katikati) akiwa M to the P (kulia) wakipozi kwa pamoja na rafiki yao nchini Afrika kusini jumamosi.

Mwakalebela aibwaga TAKUKURU

Picha
Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Frederick Mwakalebela Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), dhidi ya hukumu ya kuachiwa huru kwa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Frederick Mwakalebela (41), na mkewe Selina, katika kesi ya kushawishi na kutoa rushwa katika mchakato wa kura ya maoni ya nafasi ya ubunge ndani ya CCM.

KIIZA AITOSA YANGA, AIFUATA SIMBA KINESI

Picha
Na Mwandishi Wetu Hamis Kiiza Wakati uongozi wa klabu ya Yanga umesema kwamba mshambuliaji wao wa kimataifa, Hamis Kiiza, amekalia kuti kavu kwa sababu klabu haina kiasi cha fedha ambacho amekitaja ili apewe mkataba mpya, Mganda huyo ameshikilia msimamo wake huo.

LAMPARD AINUSURU ENGLAND KULALA NYUMBANI MBELE YA IRELAND

Picha
ENGLAND imetoka sare ya 1-1 na Jamhuri ya Ireland katika mchezo wa kirafiki usiku kwenye Uwanja wa Wembley. Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa William Collum wa Scotland, Ireland ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao ugenini, mfungaji Shane Long dakika ya 13, akiunganisha kwa kichwa krosi ya Seamus Coleman kutoka wingi ya kulia. Frank Lampard aliwasawazishia wenyeji dakika 10 baadaye, yaani dakika ya 23 kuftaia kazi nzuri ya Daniel Sturridge ambaye aliambaa uipande wa kushoto wa box, kabla ya kummiminia krosi mfungaji, aliyemtungua kipa Glenn Whelan. Ashley Cole alipewa kofia ya dhahabu baada ya kutimiza mechi 100 za timu ya taifa ya England leo.  Katika mchezo huo, kikosi cha England kilikuwa: Hart/Foster dk46, Johnson/Jones dk46, Cahill, Jagielka, Cole/Baines dkl54, Walcott, Lampard, Carrick, Oxlade-Chamberlain/Milner dk87, Rooney na Sturridge/Defoe dk33. Ireland: Forde, Coleman, O'Shea, St. Ledger, Kelly, Walters/Sammon dk82, McCarthy, Whelan/Hendrick dk7...

SUAREZ ASEMA KUIKATALIA REAL MADRID NI NGUMU

Picha
MSHAMBULIAJI Luis Suarez amezua hofu juu ya mustakabli wake katika klabu ya Liverpool baada ya kusema itamuwia vigumu kukataa ofa ya Real Madrid. Suarez, anayetumikia kifungo cha adhabu ya mechi 10 kwa kumng'ata beki wa Chelsea, Branislav Ivanovic, amesema katika mahojiano na kituo cha Redio cha Uruguay analazimika kuondoka kutokana na jinsi anavyoshambuliwa na vyombo vya habari England. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 alisema: "Liverpool wanataka nibaki, lakini ngumu kuwakatalia Real Madrid. Mtikisiko: Suarez amesema itakuwa ngumu kuikatalia Real Madrid

PATA HISTORIA FUPI YA MAREHEMU ALBERT MANGWEA.....

Picha
Jina lake halisi ni Albert Keneth Mangweha, ana asili ya Ruvuma  (Mngoni) lakini alizaliwa Mbeya 16 Novemba 1982 akiwa mtoto  wa mwisho. Kwa baba yake alikuwa mtoto wa 10 na kwa mama  ni mtoto wa 6 kuzaliwa.

MSIBA WA NGWAIR SASA UPO MBEZI BEACH

Picha
WAKATI rafiki wa msanii Albert Mangwea, M To The P naye amefariki dunia asubuhi ya leo nchini Afrika Kusini, familia ya marehemu tayari imeanza taratibu za mazishi.

Neymar nervous ahead of Barca move

Picha
Neymar  Barcelona-bound Brazil forward Neymar has been feeling nervous ahead of his blockbuster transfer to the Spanish champions once he has finished playing in the Confederations Cup in June.

Wabunge wa Kenya wajiongeza mishahara

Picha
Wanaharakati nchini Kenya waliandamana kupinga njama ya wabunge kujiongeza mishahara Wabunge nchini Kenya wamepiga kura kujiongeza mshahara na kwenda kinyume na tume ya kitaifa ya kuratibitisha mishahara ya maafisa wa serikali.

Kura Tuzo za Kili mwisho Ijumaa

Picha
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe   Zoezi la kupiga kura kwa ajili ya kuchagua washindi wa tuzo za muziki za Kilimanjaro (KTMA 2013) litamalizika keshokutwa Ijumaa, waandaaji walisema jijini Dar es Salaam jana.

YANGA KUANZA KUTETEA KAGAME J,PILI

Picha
MABINGWA watetezi wa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame), Yanga wanatarajia kuanza mazoezi Jumapili kwa ajili ya kujianda na michuano hiyo ambayo mwaka huu itafanyika nchini Sudan, Hata hivyo, mabingwa hao wapya wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara wataanza mazoezi bila ya nyota wake walioko kwenye kikosi cha timu ya taifa (Taifa Stars).

Poulsen aifua Stars mara 4 Ethiopia

Picha
Na Boniface Wambura TIMU ya taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) iliwasili hapa Ethiopia jana alfajiri kwa ajili ya kuanza kambi ya maandalizi ya kuwakabili Morocco (Lions of the Atlas) katika mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia itakayochezwa Juni 8 mwaka huu jijini Marrakech.

KIBADEN NOMA, AANZA KAZI SIMBA

Picha
Kocha Abdallah 'King' Kibadeni (mwenye miwani) akizungumza na wachezaji wapya wanaowania kusajiliwa Simba wakati alipoanza rasmi kazi ya kuifundisha timu hiyo katika mazoezi yao kwenye uwanja wa Kinesi, jijini Dar es Salaam jana.

BREKING NEWS: MOSES OLOYA KUTUA SIMBA

Picha
KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Moses Oloya (20) yupo katika mazungumzo na na klabu ya Simba SC, ambayo yanaendelea vizuri.

Kiemba aikana Yanga, Kumwaga wino Msimbazi

Picha
Na Elias John KIUNGO wa kutegemewa wa klabu ya Simba Amri Kiemba ameikana klabu ya Yanga na kudai yeye atasaini tena katika timu yake ya Simba licha ya mkataba wake kumalizika.

Kibaden aanza kazi leo,achimba mkwara kwa Julio

Picha
Na Mwandishi Wetu KOCHA mpya wa Simba Abdallah Kibaden Mputa (Pichani) ambaye amemaliza mkataba wake na timu ya Kagera Sugar  ameonyesha kumpiga mkwara mzito kocha msaidizi wa Simba Jamhuri Kihwelo 'Julio', Kibaden ambaye leo ameanza kazi ya kuinoa Simba katika uwanja wa Kinesi alitoa mkwara kwa Julio hivi karibuni

Feza Kessy, Nando wawakilisha TZ BBA

Picha
Na Mwandishi wetu kijana mwanafunzi Nando aliyetokea masomoni nchini Uingereza.   Msimu mpya wa shindano Big Brother Africa 2013, ambalo msimu huu linakwenda kwa jina la 'The Chase', yalizinduliwa rasmi juzi nchini Afrika Kusini huku Tanzania ikiwakilishwa na mshiriki wa zamani wa Miss Tanzania, Feza Kessy, na kijana mwanafunzi Nando aliyetokea masomoni nchini Uingereza.

JAYDEE AZIDI KUJIKAANGA MWENYEWE

Picha
Na Mwandishi wetu   Nyota wa muziki wa Bongofleva,Judith Wambura a.k.a Lady Jaydee   Nyota wa muziki wa Bongofleva,Judith Wambura a.k.a Lady Jaydee, amesema kwamba aliyoyaandika katika waraka alioutuma kwenye blogu yake kwamba viongozi wa Clouds Group "wanapita kila mahali kuhakikisha kila mrija unaomuingizia chochote unakatika", ni ya kweli na aliyaandika kwa nia njema.

SPURS YATOA PAUNI MILIONI 1O KUMSAJILI MKALI WA MABAO HISPANIA ALIYEFULIA BARCA

Picha
KLABU ya Tottenham imeanza mazungumzo kwa ajili ya kumsajili kwa Pauni Milioni 10, mshambuliaji wa Barcelona David Villa na pia wamefufua nia yao ya kumsajili mchezaji wanayemtaka kwa muda mrefu, Leandro Damiao. Andre Villas-Boas aliibua nia ya kumsajili ya Villa mapema mwezi huu na sasa klabu yake nchini Hispania iko tayari kuisikiliza Spurs katika mpango wao wa kumnasa mkali huyo wa mabao kwa ajili ya msimu ujao.   Klabu hiyo ya Nou Camp iko tayari kumuuza mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Hispania ambaye amejikuta katika wakati mgumu kupata namba katika kikosi cha kwanza na anaweza akauzwa kwa Pauni Milioni 12. Atatua Spurs? Mshambuliaji wa Barcelona, David Villa anatakiwa Tottenham kwa Pauni Milioni 10

ARSENAL HATARINI KUIKOSA LULU YA SERIE A

Picha
MPANGO wa Arsenal kumsajili Stevan Jovetic uko hatarini kubuma kwa sababu zile zile mashuhuri za klabu hiyo ya London, 'ubakhili uliotukuka'. Arsenal imeshindwa kutoa dau la Pauni Milioni 25 ambalo Fiorentina wanataka ili kumtoa Jovetic. Mazungumzo baina ya klabu hizo mbili yamekuwa yakiendelea kwa wiki kadhaa sasa, baada ya kocha Arsene Wenger kumfanya Jovetic mchezaji nambari moja katika orodha ya nyota anaowataka kuwasajili kwa ajili ya msimu ujao. Lakini mpango huo unaelekea kubuma, kutokana na klabu hiyo ya Serie A kugoma kuchukua kiasi chochote cha fedha chini ya Pauni Milioni 25 walizotaka. Ubakhili utawakosesha kifaa hiki: Mchezaji anayetakiwa kwa muda mrefu Arsenal, Stevan Jovetic wa Fiorentina anauzwa Pauni Milioni 25

BENITEZ KOCHA MPYA NAPOLI KWA MIAKA MIWILI

Picha
ALIYEKUWA kocha wa muda wa Chelsea, Rafa Benitez ametangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa Napoli kwa mkataba wa miaka miwili. Mspanyola huyo mwenye umri wa miaka 53 alikutana na Rais wa klabu hiyo, Aurelio de Laurentiis

MAMA BALOTELLI ANUSURIKA KIFO

Picha
Na Prince Hoza    MDAU maarufu wa vipindi ya redio hapa jijini Beatrice Shadrack ama eatrie wa Kariakoo ukipenda Sister dread wa ukweli Mama Balotelli wa Tz (Pichani) amenusurika kufa asubuhi ya leo baada ya kupata ajali mbaya ya pikipiki.

Torres, Iker in squad for Confed Cup

Picha
Iker Casillas Goalkeeper Iker Casillas and striker Fernando Torres returned to the Spain squad as coach Vicente del Bosque named a provisional 26-man group on Monday for next month's Confederations Cup in Brazil.

Stars yapaa ikiahidi ushindi

Picha
KOCHA wa timu ya Taifa Stars, Kim Poulsen Wakati timu ya taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) ilitarajiwa kuondoka nchini jana usiku kuelekea Addis Ababa kwa ajili ya kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Sudan, kocha wa timu hiyo, Kim Poulsen, amesema wanaichukulia mechi yao dhidi ya Morocco itakayofanyika Juni 8 mjini Marrakech kuwa ni zaidi ya fainali.

AFYA NA JAMII

Picha
SABABU ZA MDOMO KUNUKA NA MENO KUOZA Na Mwandishi Wetu LIMEKUWA tatizo kubwa kwa binadamu wa aina zote wakubwa kwa watoto kusumbuliwa na maradhi ya meno ambapo sasa tatizo hili limezidi kupita kiwango.

KALI YA LEO: RIBERY ALALA KITANDA KIMOJA NA KOMBE LA ULAYA PAMOJA NA MKEWE

Picha
Winga wa Bayern Munich Franck Ribery amefichua kwamba alilichukua kombe la ubingwa wa ulaya na kwenda kulala kufuatiwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Borrusia Dortmund.

TAIFA STARS NDANI YA SUTI MPYA ZILIZOANDALIWA KWA AJILI YAO NA MBUNIFU SHERIA NGOWI

Picha
Wachezaji wa Taifa Stars na benchi la ufundi katika picha ya pamoja wakionesha suti zao.

NEYMAR AMWAGA 'MACHOZI DEBE' AKIICHEZEA MECHI YA MWISHO SANTOS

Picha
MSHAMBULIAJI Neymar alimwaga machozi usiku wa kuamkia leo, wakati akiichezea klabu yake, Santos mechi ya mwisho kabla ya kuhamia Barcelona. Nyota huyo wa Brazil atakayejiunga na vigogo hao wa Catalan kwa mkataba wa miaka mitano msimu ujao aliiaga  klabu yake iliyomlea kisoka kwa sare ya 0-0 na Flamengo. Katika taarifa yake aliyotoa jana kwenye Instagram, alifafanua ni kiasi gani hatawasahu mashabiki wa Santos ambayo iko moyoni mwake.  Kwaheri: Neymar alikuwa mpweke kabla ya kuichezea Santos mechi ya mwisho

BREAKING NEWS; BEKI HATARI LA THE CRANES LASAINI MIAKA MIWILI SIMBA SC

Picha
SIMBA SC imeendelea na harakati za ujenzi wa kikosi kipya hatari cha msimu ujao, baada ya saa mbili zilizopita kukamilisha usajil iwa beki wa kati wa kimataifa wa Uganda, Samuel Ssenkoomi anayechezea timu ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA).

MONACO SASA WATISHA DUNIA...WAVAMIA DARAJAN

Picha
BEKI Branislav Ivanovic anatakiwa na Monaco baada ya kumkosa Vincent Kompany kutoka Manchester City.  Mlinzi huyo mwenye umri wa miaka 29 wa Chelsea amependekezwa na kocha Claudio Ranieri kwa mmiliki bilionea wa Kirusi, Dmitry Rybolovlev katika mpango wa kuijenga timu hiyo iliyopanda Ligi Kuu Ufaransa iwe tishio. Walitoa oda ya Pauni Milioni 51.3 iliyokubaliwa na Atletico Madrid kwa mshambuliaji Radamel Falcao, ambaye anatarajiwa kufanyiwa vipimo leo, baada ya Ijumaa kukamilisha mpango wa kuwasajili kwa Pauni Milioni 60 wachezaji wawili wa Porto, Joao Moutinho na James Rodriguez. Katika rangi ya bluu? Branislav Ivanovic anatakiwa kwa udi na uvumba na Monaco

AZAM YAMALIZANA NA STRAIKA WAKE

Picha
Klabu ya Azam imemwongezea mkataba mshambuliaji wao wa kimataifa kutoka Kenya, Humprey Mieno baada ya kumaliza kuitumikia klabu hiyo kwa mkopo akitokea Sofapaka ya Kenya.

SIMBA, YANGA KUIPINGA AZAM

Picha
Klabu za Simba na Yanga zinafikiria kuupiga chini mkataba wa udhamini wa Kampuni ya SSB, ambao ni wamiliki wa timu ya Azam na badala yake kuukubali ule wa Super Sports.

Heynckes hints at Lewandowski transfer

Picha
Robert Lewandowski and Jerome Boateng  Bayern Munich coach Jupp Heynckes has dropped a clear hint that Borussia Dortmund striker Robert Lewandowski will join the newly-crowned Champions League winners next season.

Lions 2013: Dylan Hartley set to miss tour after sending off

Picha
England hooker Dylan Hartley is set to miss the British and Irish Lions tour after becoming the first player to be sent off in a Premiership final.
Picha
Bor Dortmund 1 Gundogan 67′ (pen) Bayern Munich 2 Mandzukic 60′ Robben 89′ Arjen Robben's late winner exorcised the demons that have haunted him and Bayern Munich in the Champions League as they won a pulsating all-Bundesliga encounter against Borussia Dortmund. The tournament's recent history has offered little other than unrelenting misery for Robben and Bayern - but the agony is over after a colourful, enthralling final that confirmed Germany as the new power base of European domestic football.

BREAKING NEWS: NEYMAR ATHIBITISHA ANAJIUNGA NA BARCELONA

Picha
BARCELONA wamefanikiwa kushinda mbio za kumsaini nyota wa Brazil Neymar kwa ada ya uhamisho ya  £20million kwa mkataba wa miaka mitano.