MAMA BALOTELLI ANUSURIKA KIFO


Photo: HUYU NDIYE MAMA BALOTELLI WA TANZANIA BEATRICE MTOTO WA KARIAKOO SISTER DREAD WA UKWELI A.K.A SHABIKI DAMU WA WEKUNDU WA MSIMBAZI SIMBA SPORTS CLUB (MNYAMA) ALIYEPEKA MAJONZI YAKE JUU YA KIFO CHA BI KIDUDE KUPITIA mambouwanjaniblogspot.com
Na Prince Hoza
 

Akizungumza na mtandao huu Peter Tosh ambaye naye ni mdau wa media amesema kuwa Mama Balotelli alipata ajali ya pikipiki katika maeneo ya Buguruni.

Inadaiwa mwendo kasi wa dereva wa  pikipiki ndio umechangia kutokea kwa ajali hiyo, Ingawa mpaka sasa mdau huyo maarufu katika vituo vya redio anaendelea vizuri baada ya kupata huduma ya kwanza ila ameumia mguu wake wa kulia

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA