BENITEZ KOCHA MPYA NAPOLI KWA MIAKA MIWILI
ALIYEKUWA kocha wa muda wa Chelsea, Rafa Benitez ametangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa Napoli kwa mkataba wa miaka miwili.
Jijini London ambaye alithibitisha kwenye ukurasa wake wa Twitter: "Rafa Benitez sasa ni kocha mpya wa Napoli. Mtu mwenye uzoefu mkubwa wa kimataifa. Kiongozi,".
Mtayarishaji huyo wa filamu, De
Laurentiis dili ilikuwa likamilishwe tangu Ijumaa iliyopita, lakini
walilazimika kufanya subira, ili kwanza Benitez akamilishe majukumu yake
Chelsea.
Benitez aliyeikuta Chelsea katika hali
mbaya baada ya kufukuzwa kwa Mtaliano Roberto Di Mateo anaiacha vizuri
timu na Kombe la Europa League sambamba na nafasi ya kucheza Ligi ya
Mabingwa.
Chelsea sasa inarudi mikononi mwa kocha
wake wa zamani na kipenzi cha mashabiki wa Stamford Bridge, Mreno, Jose
Mournho anayeondoka Real Madrid
ALIYEKUWA kocha wa muda wa Chelsea, Rafa Benitez ametangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa Napoli kwa mkataba wa miaka miwili.
Mspanyola huyo mwenye umri wa miaka 53
alikutana na Rais wa klabu hiyo, Aurelio de Laurentiis Jijini London
ambaye alithibitisha kwenye ukurasa wake wa Twitter: "Rafa Benitez sasa
ni kocha mpya wa Napoli. Mtu mwenye uzoefu mkubwa wa kimataifa.
Kiongozi,".
Mtayarishaji huyo wa filamu, De
Laurentiis dili ilikuwa likamilishwe tangu Ijumaa iliyopita, lakini
walilazimika kufanya subira, ili kwanza Benitez akamilishe majukumu yake
Chelsea.
Benitez aliyeikuta Chelsea katika hali
mbaya baada ya kufukuzwa kwa Mtaliano Roberto Di Mateo anaiacha vizuri
timu na Kombe la Europa League sambamba na nafasi ya kucheza Ligi ya
Mabingwa.
Chelsea sasa inarudi mikononi mwa kocha
wake wa zamani na kipenzi cha mashabiki wa Stamford Bridge, Mreno, Jose
Mournho anayeondoka Real Madrid.
Mpango mzima: Rafa Benitez akipeana mikono na Rais wa Napoli, Aurelio de Laurentiis