Feza Kessy, Nando wawakilisha TZ BBA
kijana mwanafunzi Nando aliyetokea masomoni nchini Uingereza.
Mashindano hayo ambayo yanafanyika kwa mara ya nane mwaka huu, yanashirikisha jumla ya watu 24 kutoka katika nchi 14 za Afrika.
Washiriki hao wanatarajiwa kukaa ndani ya nyumba hiyo kwa muda wa siku 90 ambapo wataanza kuchujwa kuanzia mwishoni mwa wiki hii na mshindi wa mwaka huu ataondoka na kitita cha dola za Kimarekani