Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2013

NEYMAR: HATUIHOFII HISPANIA

Picha
NYOTA wa Brazil, Neymar anaamini Hispania inapewa nafasi kubwa ya kutwaa Kombe la Mabara katika Fainali itakayopigwa leo usiku, lakini amesema timu yake haiwahofii mabingwa hao wa Ulaya na Dunia.

I’m delighted to be here - Del Bosque

Picha
Vicente del Bosque  Spain's famously lugubrious coach Vicente Del Bosque was delighted Spain were playing Brazil in the Confederations Cup final at the Maracana on Sunday - even if he was not showing it.

Blatter atetea FIFA

Picha
Sepp Blatter Rais wa Fifa Sepp Blatter, anaamini kuwa hadhi ya shirikisho la mchezo wa soka duniani imeimarika kutokana na fainali za kombe la shirikisho, inayoendelea nchini Brazil, licha ya maandamano yanayoendelea nchini humo.

PELLEGRINI AMTAKA FRED WA BRAZIL

Picha
KOCHA wa Manchester City, Manuel Pellegrini amehamishia mawindo yake kwa washambuliaji Mbrazil, Fred na Oscar Cardozo wa Benfica, baada ya kuamua kuachana na  Edinson Cavani  aliyekuwa anatakiwa na kocha aliyemtangulia, Roberto Mancini aliyetimuliwa.

TANZANIA KUMWAGIWA NEEMA NA OBAMA

Picha
Rais Jakaya KIkwete akisalimiana na Rais wa Marekani, Barack Obama katika Ikulu ya White House nchini Marekani. Akiwa nchini Rais Obama atafanya mazungumzo na Kikwete kisha watafanya mazungumzo ya pamoja na waandishi wa habari.

SIMBA YALIPIZA KISASI YANGA, YAFANYA USAJILI KIMAFIA

Picha
Wakati uongozi wa klabu ya Yanga ukiwa katika harakati za kutaka kumsajili Mganda Moses Oloya anayecheza soka nchini Vietnam, uongozi wa Simba ambayo pia inamuwania mshambuliaji huyo umesema utawapiga bao watani wa jadi wao hao.

YANGA YAIPIGA MWELEKA SIMBA, KUJENGA UWANJA WA KISASA BUNJU

Picha
Upo uwezekano mkubwa uwanja wa kisasa wa klabu ya Yanga ukajengwa mahali tofauti na Kaunda kutokana na udogo wa eneo la Jangwani, imeelezwa.

Brazil, Spain to serve up a final feast

Picha
Neymar  Fifa president Sepp Blatter has already declared this year's Confederations Cup, hors d'oeuvre for the World Cup in 12 months time, the best ever.

Wachezaji wetu mahiri kufurahisha jukwaa, Stars ndoto kupata ushindi wa uhakika

Picha
KARIBUNI wapenzi wasomaji kupitia Mtandao huu ambao kila siku ya jumamosi nimekuwa nikiwapatia makala mbalimbali za michezo hasa soka, Leo hii nimeamua kuwakumbusha kitu ambacho Watanzania wenzangu mlikuwa hamkifahamu.

ARSENAL YAINGIA VITANI KUSAJILI KIPA WA BRAZIL

Picha
KLABU ya Arsenal itaangalia uwezekano wa kukamilisha usajili wa kipa namba wa Brazil na klabu ya Queens Park Rangers, Julio Cesar baada ya Kombe la Mabara.

Ujio wa Obama kufuru, Mawaziri kuchujwa na Wamarekani

Picha
Rais wa Marekani Barack Obama akiwasalimia wasanii wa nchini Senegal juzi alipotembelea kisiwa cha Goree, kilichopo pwani mjini Dakar alipokuwa ziarani nchini humo Wakati magari 150 ya msafara wa ziara ya Rais Barack Obama yamewasili nchini, majina ya mawaziri wa Tanzania yatakayoruhusiwa kumpokea kiongozi huyo kuchujwa na makachero wa FBI.

'Mimi bado Tanzania One', Asema Juma Kaseja, Adai ashangazwi kuachwa Simba

Picha
  Kipa aliyefunguliwa mlango kuondoka Mtaa wa Msimbazi, Juma Kaseja amesema taarifa za kutemwa kwake anazisikia kwenye vyombo vya habari tu, na kwamba hata kama ni kweli hazijamshtua kwa vile anaamini kiwango chake bado kimesimama kwenye mstari.

Yosso wawili waenda Qatar kunolewa

Picha
Angetile Osiah Wachezaji yosso wawili wa hapa nchini wamechaguliwa kuingia katika kituo cha kuendeleza vipaji kilichoko jijini Doha, Qatar kupitia mpango wa kukuza vipaji wa Aspire Football Drea baada ya kufuzu majaribio nchini Uganda.

YANGA YAMALIZA KUSAJILI, YABARIKI KUMTOSA KIIZA

Picha
Klabu ya Yanga imesema imefunga usajili wa wachezaji wazawa, siku mbili baada ya kumchukua mlinda mlango Deogratias Munishi 'Dida' kutoka timu ya Azam.

Moyes ataka kumsajli Baines

Picha
Leighton Baines Klabu ya Everton, imekata ombi lililowasilishwa na Manchester United la kutaka kumsajili mlinda lango wake Leighton Baines kwa kitita cha pauni milioni kumi na mbili.

Juma Kaseja awaendea Simba Kigoma

Picha
TANZANIA One Juma Kaseja mabaye ametangazwa kutemwa na klabu yake ya Simba ameamua kurejea nyumbani kwao mkoani Kigoma ili kujiweka fiti, Kwa mujibu wake mwenyewe Kaseja ambaye jana alizungumza na Spoti Extra alisema ameamua kurejea kwao Kigoma.

DIDA ASAJILIWA YANGA, BARTHEZ ABARIKI USAJILI WAKE

Picha
UWEZEKANO wa Juma Kaseja, kipa aliyetupiwa virago Simba SC kutua Yanga SC unazidi kuwa mdogo, kufuatia habari za wana Jangwani hao kumsajili, kipa Deogratius Munishi ‘Dida’ kutoka Azam FC.

HISPANIA WAING'OA ITALIA KWA MATUTA KOMBE LA MABARA, FAINALI NA BRAZIL MARACANA...NI BALAA

Picha
HISPANIA imeitoa Italia katika Kombe la Mabara kwa ushindi wa matuta wa 7-6 mjini Fortaleza, kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 120 katika mchezo wa Nusu Fainali usiku huu.

MADEGE YA OBAMA YAZUA HOFU DAR

Picha
    Makachero wa Marekani wameendelea na matayarisho ya mwisho ya ziara ya Rais Barack Obama, ambapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere walikuwa na kazi ya kuunganisha helikopta za doria.

Yanga kutembeza kombe mikoani

Picha
Baraka Kizuguto Mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga watafanya  ziara ya mikoa kadhaa nchini kutembeza kombe lao la ubingwa wa ligi hiyo msimu uliopita kuanzia Julai 5, imeelezwa.

SIMBA KUTANGAZA KIKOSI CHAKE LEO, TALIB HILAL AISHANGAA SIMBA KUMTEMA KASEJA

Picha
Evodius Mtawala   Hatimae kikosi cha 'Wekundu wa Msimbazi', Simba kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara utakaoanza Agosti 24 kitajulikana leo wakati kamati ya utendaji ya klabu hiyo itakapokutana jijini Dar es Salaam chini ya mwenyekiti wake Ismail Aden Rage.

POULINHO AIPELEKA BRAZIL FAINALI KOMBE LA MABARA IKIIUA URUGUAY 2-1, FORLAN AKIKOSA PENALTI

Picha
Paulinho ameibeba Brazil I BAO la kichwa la Paulinho zikiwa zimesalia dakika nne kabla ya filimbi ya mwisho, limeipa Brazil ushindi wa 2-1 dhidi ya Uruguay usiku wa kuamkia leo na kutinga Fainali ya Kombe la Mabara. Diego Forlan alikosa penalti dakika ya 13, baada ya beki wa Chelsea, David Luiz kumuangusha Diego Lugano kwenye eneo la hatari.

Rais Obama atua Senegal kwa ziara Afrika

Picha
Hi ni ziara ya pili ya Rais Obama Afrika Rais Barack Obama amewasili Senegal katika ziara yake ya wiki moja barani Afrika na anatarajia kuzuru Afrika Kusini na Tanzania akilenga kustawisha demokrasia na masuala ya uchumi.

Ngwasuma kutumbuiza Miss Redd’s Nyanda za Juu kesho

Picha
Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma' wamealikwa kutumbuiza katika kinyang'anyiro cha kumsaka kinara wa shindano la kumsaka Miss Redd’s Kanada ya Nyanda za Juu Kusini kitakachofanyika Soweto mjini Mbeya kesho.

Kamati ya ligi yaichimba mkwara Yanga

Picha
KAMATI ya ligi jana imeweka hadharani kuwa endapo mabingwa wa soka nchini Yanga watashindwa kuudhuria sherehe za utoaji zawadi za washindi ligi kuu ya Vodacom itakiona chamoto, Mwenyekiti wa kamati Wallace Karia amesema kuwa haoni sababu za Yanga kugomea zawadi hizo.

Serikali yakosa mwendeshaji Uwanja wa Taifa

Picha
Leonard Thadeo Serikali bado haijapata kampuni inayokidhi vigezo ili kuingia nayo ubia wa kuendesha Uwanja wa Taifa uliopo jijini Dar es Salaam, imeelezwa.

Simba yatangaza rasmi kumuacha Juma Kaseja

Picha
UONGOZI wa klabu ya soka ya Simba jana umetangaza rasmi kuachana na kipa wake namba moja Juma Kaseja baada ya kumalizika mkataba wake, Akizungumza jana mwenyekiti wa kamati ya usajili Zackaria Hanspope amedai kuwa klabu ya Simba haina mpango wa kumuongeza mkataba kipa huyo.

Hamisi Kiiza ataka kumpiku Niyonzima Yanga

Picha
Mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, Hamis Kiiza   Mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, Hamis Kiiza, amesema kwamba yuko tayari kukaa msimu mzima bila ya timu lakini hataweza kushusha kiwango cha mshahara wa mwezi cha Dola za Marekani 3,500 (Sh. milioni 5.6) ambazo anataka mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara wamlipe kuanzia msimu ujao.

Kapombe majaribioni FC Twente

Picha
Shomari Kapombe  Beki wa kushoto wa klabu ya Simba SC na timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Shomari Kapombe yupo majaribioni na klabu ya FC Twente inayoshiriki kwenye ligi kuu ya Uholanzi Eredivisie, baada ya klabu hiyo kutangaza rasmi kwenye tovuti yao.

TUZO KAMA HIZI ZINAPOTOSHA UKWELI

Picha
MWISHONI mwa wiki iliyopita kulikuwa na tukio la kushangaza tena la kufurahisha kwa wadau wa michezo hususani soka, Chama cha wanasoka nchini  SPUTANZA kiliamua kutoa tuzo zake kwa wachezaji waliofanya vizuri katika msimu wa ligi kuu ya Vodacom ya msimu uliomalizika wa 2012/13

MICHUANO YA CECAFA YANOGA DARFUR

Picha
Mashindano ya kandanda ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati ya kuwania kombe la Kagame yameingia nusu fainali nchini Sudan sehemu ya Darfur Kaskazini na Kordofan Kusini.

CAVANI AWATOSA WAZAZI WAKE, AWAAMBIA WASIMFUATILIE MAISHA YAKE

Picha
MSHAMBULIAJI wa Napoli, Edinson Cavani amewapiga stop wazazi wake kuzungumzia mustakabali wake kwenye umma.

Tenga: Wachezaji lazima wapimwe

Picha
Leodegar Tenga imesema kuna kanuni inayozitaka klabu za Ligi Kuu kuwapima afya wachezaji inaowasajili na kwamba, kinyume na hatua ni kosa.

KONE KUTUA WIGAN, ADAI ANATAKA KWENDA KWA MARTINEZ

Picha
MSHAMBULIAJI Arouna Kone  anayetaka kuondoka  amewaambia  Wigan anataka kusaini Everton akiondoka Uwanja wa DW.

Simba bado yamng'ang'ania Juma Kaseja

Picha
Juma Kaseja   Uongozi wa klabu ya Simba umekanusha kumtosa kipa wao chaguo la kwanza Juma Kaseja na kusisitiza kuwa bado nahodha huyo wa timu ya taifa (Taifa Stars) bado anayo nafasi ya kupewa mkataba mpya wa kuendelea kuichezea timu hiyo katika msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara utakaonza Agosti 24.

Mzee Mandela bado yu hali mahututi

Picha
Hali ya Mandela inasemekana kuwa mbaya Familia ya rais mstaafu Nelson Mandela, imemtembelea hospitalini, mzee Mandela ambaye anasifika kwa vita alivyopigana dhidi ya utawala wa wazungu nchini nAfrika Kusini.

Ngassa aikana Simba, Adai uzushi mtupu ulioenezwa

Picha
KIUNGO mshambuliaji mpya wa mabingwa soka nchini Yanga, Mrisho Ngassa amekanusha uvumi ulioenezwa kuwa TFF imeamua kuukana mkataba wake na Yanga na kuamua kumrejesha Simba, Akizungumza na mwandishi wa habari hizi mapema jana Ngassa amekanusha vikali na kudai hawezi kurejea tena Simba.

Ligi Kuu Bara kuanza Agosti 24

Picha
Mwenyekiti wa Kamati ya Ligi, Wallace Karia   Msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2013/2014 utaanza Agosti 24 mwaka huu ambapo timu zote 14 zitashuka dimbani kwenye viwanja tofauti kusaka pointi tatu muhimu, imefahamika.

Shomari Kapombe kimewaka Ulaya, kuandika rekodi ya kuwa mwafrika wa kwanza kuichezea FC Twente.

Picha
KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam, Shomary Kapombe anaweza kuweka rekodi ya kuwa mchezaji pekee Mwafrika kwenye kikosi cha FC Twente ya Ligi Kuu ya Uholanzi msimu ujao, iwapo atapasi majaribio yake katika timu hiyo hivi karibuni.

YANGA KUKIPIGA NA RAYON SPORT JIJINI MWANZA JULAI 6

Picha
MABINGWA wa Tanzania Bara na Afrika Mashariki na Kati, Yanga SC ya Dar es Saalaam watacheza na Rayon Sport ya Rwanda Julai 6 na 7, mwaka huu katika sehemu ya ziara yake ya kulitembeza Kombe lake la ubingwa wa Ligi Kuu mikoa ya kanda ya Ziwa, ambayo inadhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).

MMILIKI WA AC MILAN ATUPWA JELA MIAKA SABA KWA KUKUTWA NA HATIA YA KUFANYA NGONO NA KIBINTI CHA MOROCCO

Picha
MMILIKI wa AC Milan, Silvio Berlusconi amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela na kufungiwa maisha kufanya kazi katika ofisi za umma baada ya kukutwa na hatia ya kumlipa binti mdogo afanye naye ngono katika moja ya pati zake za 'bunga bunga'.

CHELSEA YAFIKA BEI KWA CAVANNI

Picha
KITUO cha Redio cha Napoli, Marte kimetangaza kwamba dau la Pauni Milioni 49.3 limetolewa na Chelsea kwa ajili ya mshambuliaji  Edinson Cavani.

NI HISPANIA NA ITALIA, URUGUAY NA BRAZIL NUSU FAINALI KOMBE LA MABARA...PATACHIMBIKA BABAKE!

Picha
MABINGWA wa dunia, Hispania wametinga Nusu Fainali ya Kombe la Mabara kufuatia ushindi wa mabao wa 3-0 dhidi ya Nigeria usiku huu.

YANGA KUJAZWA MANOTI JULAI 3 MWAKA HUU

Picha
WADHAMINI wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Kampuni ya Vodacom itakabidhi zawadi kwa washindi wa ligi hiyo Julai 3, mwaka huu mjini Dar es Salaam.

WANYAMA KUTUA LIGI KUU YA ENGLAND, KLABU ZAZIDI KUMUWANIA

Picha
SAFARI ya kiungo Mkenya Victor Wanyama kuhamia England inazidi kunukia, kufuatia klabu ya Cardiff City kutoa ofa ya Pauni Milioni 10 kwa Celtic kutaka kumnunua kiungo huyo, ambaye anatakiwa pia na Southampton.

Simba yafanya kufuru, Yasajili watatu kwa mpigo

Picha
Katika kuhakikisha haifanyi makosa zaidi, klabu ya Simba juzi iliwasainisha wachezaji watatu, Sino Agustino, Marcel Kaheza ‘Rivaldo’ na Omary Salum ‘Inzagi’.

Miss Tabata 2013 ziarani Ujerumani

Picha
Miss Tabata 2013, Dorice Mollel (22) yupo nchini Ujerumani kwa ziara ya wiki tatu ya kudumisha ushirikiano kati ya nchi hiyo na Tanzania.

Profesa Jay, Jide wang'ara tena tuzo za Kill

Picha
Lady Jaydee, ambaye anashikilia tuzo ya mwanamuziki bora wa kike, akipagawisha mashabiki wakati wa uzinduzi wa ziara ya kimuziki ya Kili kwenye uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma, juzi Jumamosi.

Wawakilishi soka, netiboli wapewa vifaa

Picha
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd akipokea vifaa mbalimbali vya michezo kwa timu za baraza soka na netoboli kutoka kwa Meneja Masoko wa Kinywaji cha Grandmalt, Fimbo Mohamed Butallah, wakati wa makabidhiano yaliyofanyika kwenye ukumbi la baraza la wawakilishi Zanzibar. Kushoto ni mwenyekiti wa timu ya Baraza la Wawakilishi, mheshimiwa Hamza Hassan Juma. Picha kwa Hisani ya Intellectuals Communications Limited

Nyota ya Kaseja yazidi kung'ara, Kibaden akanusha kumtimua

Picha
Kocha wa Simba, Abdallah Kibaden 'King' Kocha wa Simba, Abdallah Kibaden 'King', ameibuka na kukanusha vikali uvumi kwamba ni yeye ndiye aliyemtimua kipa chaguo la kwanza wa timu hiyo na Taifa Stars, Juma Kaseja baada ya kumtema katika orodha ya nyota wanaotarajia kuwamo katika kikosi chake cha msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Badala yake, Kibaden ambaye pia ni mchezaji nyota wa zamani wa 'Wekundu wa Msimbazi' aliyewahi pia kuandika rekodi kwa kuifikisha fainali ya Kombe la Shirikisho wakati akiifundisha mwaka 1993, amefichua kuwa Kaseja hakuwamo katika orodha ya wachezaji aliokabidhiwa na uongozi wa klabu yake hiyo.