Juma Kaseja awaendea Simba Kigoma

TANZANIA One Juma Kaseja mabaye ametangazwa kutemwa na klabu yake ya Simba ameamua kurejea nyumbani kwao mkoani Kigoma ili kujiweka fiti, Kwa mujibu wake mwenyewe Kaseja ambaye jana alizungumza na Spoti Extra alisema ameamua kurejea kwao Kigoma.


Kaseja maedai Kigoma ni nyumbani kwao ni kila mara anapopata likizo hurejea, Lakini pia amesema akirejea jijini ataweka mambo yote hadharani kuhusu mustakhabali wake wa soka, Kuhusiana na Simba Kaseja maekataa kuzungumza isipokuwa amedai akili yake kwa sasa ipo kwenye timu ya taifa.

'Nikirejea jijini Dar es Salaam nitaweka hadharani mustakabali wangu kuhusu soka, Hata hivyo Kaseja alikataa kuzungumzia masuala ya usajili kwa madai muda haujafika

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI