Yanga kuchomoa kiungo Al Ahli Tripoli


Yanga SC ipo kwenye mazungumzo na Al Ahly Tripoli ya Libya kwa ajili ya kumsajili kiungo Lamin Camara (26), raia wa Senegal.

Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said, anatarajiwa kwenda Tripoli kukamilisha mazungumzo ya dili hilo.

Yanga inamuhitaji Camara kuongeza ubora na ushindani katika eneo la kiungo, huku ikilenga kumsajili katika dirisha dogo.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons