Wabunge watoa salamu kwa Simba, Dodoma

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakuregenzi Crescenticius Magori ameambatana na Waheshimiwa Wabunge ambao ni Wanachama wa Simba SC, Mh.Rashid Shangazi ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi, Mh.Elibariki Kingu na Mh.Deo Ndejembi Masabuli wametembelea timu ikiwa Jijini Dodoma.

Pamoja na kutoa salamu kwa wachezaji na benchi la ufundi pia wametoa motisha ya shilingi milioni tano kwa timu ikiwa ni kama hamasa ya kuendelea kufanya vizuri.

NguvuMoja



Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons