Unamjua Bubah Jameh yule wa Yanga? Sasa anakipiga kwa wababe wa Mamelod

Nyota wa zamani wa Young Africans SC Bubah Jameh anayekipiga kwasasa Wiliete SC Benguela hii leo amefunga bao 1 kwenye ushindi wa bao 3-0 wa timu yake dhidi ya Futebol Clube de Cabinda mchezo wa ligi kuu nchini Angola .

Bubah tutakuwa nae kwenye michezo ya CAF Champions League hatua ya makundi akiwa na Chama lake Wiliete linaloongozwa na Striker force Mabululu.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons