Toure arejea kuivaa Orlando


Beki wa Simba SC, Ismail Touré, ana asilimia 99.9% ya kucheza mchezo dhidi ya Orlando Pirates siku ya Jumapili.

Touré yuko katika hali nzuri kimwili na kiakili, akiwa tayari kurejea uwanjani kuisaidia Simba katika mtihani huo muhimu.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons