Simba kutimkia Kenya

Klabu ya Simba SC inatarajiwa kuelekea nchini Kenya baada ya mchezo wake dhidi ya Namungo FC kwa ajili ya kuweka kambi fupi ya mazoezi, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mechi zijazo za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons