Simba kucheza na Gor Mahia

Klabu ya Simba SC imepangiwa kucheza mchezo maalum wa kirafiki dhidi ya klabu ya Gor Mahia FC ya nchini Kenya kwenye michuano ya Raila Odinga Cup itakayofanyika tarehe Novemba 15, 2026, nchini Kenya.

​Michuano hiyo maalumu imelenga kuenzi na kuheshimu kumbukumbu ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga. Hii inakuwa ni moja ya mechi kubwa za kimataifa za kirafiki zinazozikutanisha timu hizo kongwe kutoka Afrika Mashariki.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons