Nyota mwingine wa Yanga Princess apaa majuu

Kiungo Mshambuliaji wa Kimataifa wa Burundi Ambaye ni Mchezaji wa Zamani wa Vilabu vya Evergreen Queens, Simba Queens na Yanga Princess Asha Djafar Djuma Ametambulishwa Rasmi na Club ya Gokulam Kerala Women's ya Nchini India

Gokulam Kerala Ni Moja Kati ya Timu Kubwa zinazofanya Vizuri Nchini India

Msimu wa 2023/2024 Walimaliza katika Nafasi ya Pili ya Msimamo wa Ligi Kuu Wanawake Nchini Humo

Walifanya hivyo pia katika Msimu wa wa 2024/2025 katika Nafasi ya Pili, Mambo hayakuwaendea vizuri Msimu wa 2025/2026 Baada ya kumaliza katika Nafasi ya 5.




Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons