Morocco yajitoa CAF, yajiunga UEFA
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Morroco limetengaza kujiondoa kabisa na kuiondoa timu yao ya Taifa katika michuano ya CAF na kuamua kujiunga na shirikisho la soka la Ulaya UEFA na kushiriki mashindano hayo.
Hatua hii inakuja baada ya mahakama ya mpira wa miguu barani Afrika CAS kutoa uamuzi wa kuirushia ubingwa timu ya Taifa ya Senegal baada ya ubingwa huo awali kupewa Morocco baada ya kikao cha CAF
