Ladack Chasambi avunja mkataba Singida BS
Taarifa Zinasema Ladack Chasambi amevunja mkataba na Singida BS, na anakuwa mchezaji watatu kufanya hivyo katika kipindi hiki cha muda mfupi
Tayari Marcel Canadi, Mohamed Damaro nao wamefikia uamuzi wa kuvunja mkatana na klabu hiyo kwa sababu mbalimbali
