Kocha wa Namungo aliwakataza wachezaji wake kudai haki

Moja ya Mijadala inayoendelea mitandao ya kijamii hii leo baada ya Mchezo wa NBC Premier League kati ya Simba SC na Namungo ni kuhusu kitendo cha Kocha wa Namungo, Juma Mgunda kuwakataza wachezaji wake kwenda kudai haki yao baada ya goli la tatu la Simba SC kufungwa.

Wachezaji walimfuata mwamuzi akalitazame tukio hilo kwenye FVS lakini Mgunda akawatalia na kuwarudisha uwanjani jambo lililotafsiriwa kama pengine alitaka Simba SC ishinde hiyo mechi.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons