Katanga Hussein mwamuzi kutoka Tabora, kuwania tuzo za TFF


Mwamuzi Katanga Hussein kutoka mkoani Tabora ameingia kwenye orodha ya wanaowania tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) msimu wa 2025/2026, baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo ya Mwamuzi Bora wa Ligi Kuu ya NBC.

Katanga, anayefahamika pia kwa jina la Nyukimaster, anawania tuzo hiyo itakayotolewa Desemba 12, 2026 jijini Arusha, katika hafla ya utoaji wa tuzo za TFF.

Mbali na tuzo ya Mwamuzi Bora, Katanga pia anawania tuzo ya Seti Bora ya Waamuzi kupitia mchezo kati ya JKT Tanzania na Yanga SC.

Uteuzi huo unamweka mwamuzi huyo kutoka Tabora miongoni mwa majina yanayotajwa katika tuzo hizo za soka nchini.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons