Hatimaye Ibrahim Doumbia aitwa timu ya taifa

Hatimaye Teka Letu fundi, IBRAHIM DOUMBIA, ameitwa rasmi kwenye kikosi cha timu ya taifa ya MALI hii ni heshima kubwa kwake na kwa klabu yetu ya SIMBA SPORTS CLUB.

Tunaamini utaenda kukiwasha na kuonyesha utofauti kama unavyofanya hapa Msimbazi. Kila la kheri, Ibrahim Doumbia.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons