Chobwedo arejea uwanjani
Mchezaji wa TRA United Ramadhani Chobwedo amereja rasmi ndani ya kikosi cha TRA united , leo hii kwenye mechi dhidi ya fountain gate ameweza kuanzia sub yupo kwenye bench!
Licha ya muda sana kukaa nje akiuguza majeraha aliyoyapata.
Wakati wa pitch feeeling alionekana mchezaji ambaye ni kipenzi cha mashabiki Chobwedo , akiwa kashikilia simu janja.
Kama ataweza kuwa kwenye mipango ya mwalimu anaweza kupata dakika chache zakuonesha makali yake!!
