Azim Dewji asema Mangungu ni mtu jeuri
Mjumbe wa Bodi ya Simba SC, Azim Dewji amjia juu Mwenyekiti wa Klabu hiyo Murtaza Mangungu na kumuita ni mtu mwenye kiburi
Kitendo che yeye kuitisha Mkutano na waandishi wa habari na kuufanyia mkoani Lindi, Azim anadai hata angefanyia akiwa wapi hana mamlaka ya kusema anazungumia akiwa wapi
Yeye ni mtu mdogo siyo Rais wa nchi kwani mwenye mamlaka hayo ni Rais wa nchi na viongozi wengine wenye mamlaka hayo.
Azim Dewji anakwambia timu haiendeshwi na Mwenyekiti timu inaendeshwa na BODI kwaiyo wao ambao wapo kwenye Bodi ya Simba hawatakubali kuona hiki kinachoendelea cha kuchafuana.
Tarehe ya uchaguzi hata iwe lini na Mkutano ufanyikie wapi wao hawaogopi na hawana hofu katika hilo kikubwa utaratibu ufatwe.
Maneno ya Azim Dewji Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC.
