Arajiga kuhudhuria semana CAF

Mwamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga ameteuliwa na CAF kushiriki semina ya siku sita ya maandalizi ya mashindano ya CAF ngazi ya Klabu hatua ya Makundi itakayofanyika Cairo, Misri Novemba 18-23, 2026


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons