Yanga yatinga makundi, Mwalimu amjibu Doumbia

Klabu ya Yanga rasmi imefanikiwa kuingia hatua ya makundi kunako michuano ya Ligi ya mabingwa Barani Afrika baada ya kupata ushindi wa 4-1 dhidi ya CFFA , mchezo ulio malizika katika uwanja wa Chamanzi .

Yanga jumla inaenda hatua inayofuata kwa ushindi wa mabao 8-1 kufuatia ushindi wa mabao 4-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza.

Mabao ya Yanga yamefungwa na Ibrahim Kazimoto, Seleman Mwalimu aliyefunga mawili akimjibu Ibrahim Doumbia wa Simba, Juma Abushir "Chuga" na Albert Kangwanda.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons