Yanga na Simba zapangiwa wababe wao
Mabingwa wa Tanzania 2025/26, Yanga SC wamepangwa Kundi B wakiwa na Zamalek SC (Misri), MC Alger (Algeria) na Club African (Tunisia) katika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika
Nao wawakilishi wengine wa Tanzania kwenye michuano hiyo, Simba SC wameangukia C wakiwa na RS Berkane ya Morocco, Orlando Pirates ya Afrika Kusini na Colombe Sportive ya Cameroon.
Makundi yote manne yako hivi:-
KUNDI A:
Esperance
Petro Atletico
FC Naouadhibou
Williete
KUNDI B;
Zamalek
Yanga SC
MC Alger
Club Africain
KUNDI C;
RS Berkane
Simba SC
Orlando Pirates
Colombe Sportive
KUNDI D;
FC Pyramids
Al Hilal
Horoya AC
Mas Des fes
Je, unasema kuhusu Tanzania kupenya hatua ya robo fainali?
Mechi za kwanza hatua ya makundi zinaanza Novemba 27-29
