Yanga kuweka rekodi Ligi ya mabingwa Afrika

Iwapo Young Africans watafanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya TotalEnergies CAF Champions League msimu huu, watakuwa timu ya kwanza kutoka Tanzania kufuzu hatua hiyo kwa misimu minne mfululizo bila kukosa.

Hii itakuwa rekodi nyingine kubwa kwa Wananchi na uthibitisho wa mwendelezo wao katika ushindani wa soka la Afrika.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons