Wasifu wa mrithi wa Manqoba, Yanga hii hapa


Kwa wale ambao hawamjui huyu mwamba wa kuitwa Krunoslav Jurçiç ngoja niwapitishe kwenye cv yake kwa ufupi;

Krunoslav Jurçiç ni mzaliwa wa Croatia alizaliwa mwaka 1969. Na hizi ni vilabu amefundisha kabla ya kuachana pyramid ya misri hivi kaeibuni.

Pyramids FC Misri , Al-Nasr UAE , Baniyas UAE, Al-Nassr Saudi Arabia, Adanaspor Uturuki , NK Maribor Slovenia , Dinamo Zagreb Croatia, NK Lokomotiva Croatia, Slaven Belupo Croatia, Pula 1856 Croatia .

Pia aliwahi kuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Croatia mwaka 2012 na kufanya kazi katika mfumo wa usimamizi wa vipaji wa timu ya taifa ya Saudi Arabia.

Na haya ni baadhi ya Mataji aliyotwaa;

CAF Champions League: 2024/25 — Pyramids FC.
CAF Super Cup: 2025/26 — Pyramids FC.

Egypt Cup: 2023/24 na 2025/26 — Pyramids FC.
Ligi ya Croatia: mara tatu akiwa na Dinamo Zagreb.
Pia alitwaa mataji mengine ya ndani akiwa na Dinamo Zagreb na Al-Nasr ya UAE.

Naamini wananchi wakifanikiwa kumpata atakuwa msaada mkubwa pia wakimpa silaha hasa dirisha dogo ili kuboresha kikosi

.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons