Tathimini ya Hans Raphael Simba vs Yanga
Nimewahi kuiona Yanga ikiteseka na kuhangaika ila hii ya leo kiboko
Leo Yanga walikuwa na 38% ya umiliki wa mpira dhidi ya 62% ya Simba.
Leo Yanga wamepiga on target 1 nayo imekuja kipindi cha kwanza.
Leo Yanga hawakuwa na mbinu,ideas,uthubutu na ujuzi wa kuamuwa hii mechi.
Simba walistahili alama zote tatu kwani walikuwa bora kila sehemu.
Narudia tena Manqoba Mngqithi anatakiwa kujiangalia,Yanga inaweza kufungwa ila siyo kwa dharau kama leo.
Manqoba Mngqithi Hakuwa na game plan nzuri,baada ya kupata goli alikaa nyuma bila malengo,cha ajabu dakika ya 60 anamtoa Kangwanda na kumuingiza Komara ili kujilinda
Game reading ya Manqoba Mngqithi ni mbovu inapelekea kufanya SUB mbovo.
Manqoba Mngqithi leo ameikaanga Yanga
