Taifa Stars yalowa 5-0
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imekubali kichapo cha 5-0 dhidi ya klabu ya AS Far Rabat ya Morocco kwenye mchezo wa kirafiki katika uwanja wa AS FAR Sports Center.
FT: AS FAR Rabat 5-0 Tanzania
⚽ 02' Bouriga
⚽ 15' El Khfiyef
⚽ 23' Aït Ouarkhane
⚽ 75' El Khfiyef
⚽ 87' Oujeddou
