Steve Barker kujiunga na Mamelod
Taarifa zinaeleza kuwa Steve Barker anatarajiwa kuondoka Simba SC na kujiunga na Mamelodi Sundowns.
Inadaiwa kuwa mshahara atakaoupata Mamelodi Sundowns ni mara tatu ya mshahara anaolipwa sasa akiwa Simba.
Aidha, Barker amewasiliana na viongozi wa Simba akieleza nia yake ya kuvunja mkataba uliosalia kwa miezi miwili, kutokana na Mamelodi kumhitaji haraka.
Kwa sasa, mashabiki wa Yanga wanapenda kusikia taarifa nyingine kubwa Kuhusu simba mbali na sakata la Mangungu.
Usajili na mabadiliko ya makocha yanaendelea kutikisa soka la Afrika Mashariki!
