Simo Diadla apewa mikoba ya Manqoba, Yanga
Kocha Simo Dladla aliyekuwa Msaidizi wa Kocha Manqoba Mnqqithi amepewa iukumu la kukisimamia kikosi cha Yanga SC Mpaka watakapopata Kocha Mkuu Mpya.
Dladala endapo atawaridhisha mabosi wa Yanga SC, atakuwa sehemu ya benchi lipya la Kocha Mpya atakaekuja.
Kocha Simo Dladla anavyo vyeti ambavvo vinakidhi vigezo vva kuwa Kocha Mkuu kwenye ligi kuu ya NBC.
