Simba yafanya mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa Yanga

Klabu ya Simba imefanya mazoezi ya mwisho ikiwa ni kuelekea mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga, utakaopigwa kesho, Oktoba 10, 2026, saa 1:00 usiku katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Simba itakuwa mwenyeji wa mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka, huku Yanga ikiingia dimbani kupambana na wapinzani wao katika dabi hiyo yenye ushindani mkubwa.

Macho na masikio ya mashabiki wa soka yanaelekezwa katika pambano hilo la watani wa jadi.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons