Simba yachezea kichapo Sauzi
Simba imepoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Polokwane City ya Afrika Kusini katika mchezo wa kirafiki uliochezwa nchini humo.
Simba iko Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Yanga utakaochezwa Oktoba 10, 2026 katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Mchezo huo wa Kariakoo Derby utaanza saa 1:00 usiku.


