Simba na kashfa ya kutumia sindano

kwa mara ya kwanza nasikia Simba inatumia sindano sasa kila mechi tuna tumia na je, hata jana tumetumia maneno mengine yanaweza kumfunga mtu bila kujitambua mwenyewe kosa nini kumbe kosa ni yeye kuongea pumba.

“Haiwezekani mimi nikawa nafanya kazi za kujibu propaganda za kijinga. Kama wao wanachomana sindano, waende wakachomane sindano. Sisi tunachojua, tunaizungumzia timu ambayo inacheza na matokeo yanapatikana uwanjani,”

Murtaza Mangungu, M/kiti wa Simba SC

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons