Sele Bwenzi huyu jamaa anajua

𝗦𝗲𝗹𝗲𝗺𝗮𝗻𝗶 𝗕𝘄𝗲𝗻𝘇𝗶 huyu jamaa anajua kutengeneza taharuki hasa linapokuja suala la ufungaji magoli yake mawili makali yanaendelea kumfanya kuzungumzwa sana mjini.

Goli la kwanza aliwafunga Yanga kipindi hicho yupo Ken Gold lilikuwa goli la katikati ya uwanja lilikuwa goli bora sana kulitazama...hadi leo hakuna mchezaji yeyote aliyefunga.

Msimu huu pia amewafunga Simba goli la mithili ile ile japokuwa hili lilikuwa mbele kidogo ya mstari wa katikati lakini so far ndio goli linalovutia mpaka sasa!


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons