Rasmi, Yanga yaachana na Manqoba
Klabu ya Young Africans SC imefikia makubaliano ya kuachana na kocha wao mkuu Manqoba Mngqithi baada ya muendelezo mbaya wa matokeo.
Vionozi wa Young Africans SC wamekaa kikao maalumu baada ya sare dhidi ya TRA United FC ya Ligi Ku na taarifa rasmi itatolewa hivi punde.
