Mudathir Yahya amwachia msala Manqoba Yanga

Napokea Malalamiko Na Maneno Ya Hasira Kuhusu Coach Wetu , Niseme Tu Ile Substitution Hata Mwenyewe Sikupenda Nabaada Ya Kutoka Watani Wetu Wakarudisha Na Kuongeza Hivyo Kupelekea Kupata Ushindi. Niongee Kutoka Ndani Ya Moyowangu Kuwa Nawaachia Uongozi Wa Team Kuchukua Hatua Au Kuangalia Wao Kama Viongozi Watafanyaje , Daima Mbele Nyuma Mwisho Mwakani Tena Inshalla


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons