Manqoba kuimaliza Simba hapa


Kocha wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, amesema falsafa yake ni kutawala mchezo kwa kujua wakati sahihi wa kushambulia, kuzuia na kumaliza wapinzani.

Akizungumzia mchezo uliopita, kocha huyo amesema walikuwa wamewadhibiti wapinzani wao na amesisitiza kuwa falsafa hiyo hiyo itatumika katika mchezo ujao.

“Nataka tutawale mchezo, najua muda wa kushambulia, najua muda wa kuzuia na najua muda wa kuwamaliza wapinzani. Hata hii tutaenda hivyo hivyo. Tutaona,”


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons