Manqoba ataja sababu za kumtoa Mudathir

"Simba wameshinda kwa sababu walipambana sana, walibakia mchezoni licha ya kutanguliwa goli. Nilimtoa Mudathir baada kuona ameshindwa kumdhibiti Neo Maema nikaona ni sawa nibaki na Ngoma ambaye alikuwa anakimbia maeneo mengi uwanjani"

"Simba walikamata eneo lote la Midfield haswa baada ya kutoka Duke, Simaanishi kwamba Ngoma alicheza vibaya lakini Simba walituzidi sana katika eneo la kiungo ndipo waliweza kurudisha goli na kuumaliza mchezo"

- Manqoba Mngqithi jana baada ya mchezo wa Kariakoo derby dhidi ya Simba!


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons