Manqoba aibukia Kaizer Chief
Uongozi wa timu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini umeanza mazungumzo na kocha Manqoba Mnqinth kwa ajili ya kukinoa kikosi chao
Suala limekuja haraka baada ya kusikia Kocha Manqoba Mnqinth ameachana na timu yake ya Yanga Sc hivyo Uongozi wa Kaizer Chiefs ukaona nafasi ya kumpata kocha huyo umefika
