Majeraha yamuondoa timu ya taifa, Duke Abuya

Kutokana na majeraha, kiungo wa Young Africans, Duke Abuya ameachwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Kenya kilichotangazwa leo kwa ajili ya michezo miwili ya kufuzu AFCON 2027 mwezi ujao.

Duke alipata majeraha kwenye mchezo wa derby ya Kariakoo na ataikosa michezo miwili ya kufuzu AFCON dhidi ya South Africa

.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons