Kocha wa Tausi FC kumrithi Edna Lema, Yanga Princess

Uongozi wa Yanga Princess upo mbioni kumalizana na aliyekuwa kocha mkuu wa Tausi Fc Martin Hammel kuwa kocha mkuu,

Yanga Princes lengo lao la kwanza ilikuwa kwa kocha Bakari Shime ambaye kwa sasa anafundisha timu ya wanawake ya Tanzania U20 Ila dili la kumng'oa Bakari Shime limekuwa na ugumu sana kwa sasa

Kwasasa Yanga Princess wamemuona Martin Hammel kuwa mtu sahihi kwao.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons