Keletso Makgalwa mshambuliaji wa pembeni ghali zaidi

Mshambuliaji wa pembeni raia wa Afrika Kusini, Keletso Makgalwa (29), kwa sasa ndiye mchezaji mwenye thamani kubwa zaidi ya sokoni katika kikosi cha Simba SC, kwa mujibu wa takwimu za mtandao wa kimataifa wa Transfermarkt.

Winger huyo wa shoto, anayevaa jezi namba 11 Msimbazi, ana thamani inayokadiriwa kufikia Euro milioni 1.20 (zaidi ya Shilingi bilioni 3.5 za Kitanzania). Makgalwa amekuwa nguzo muhimu katika safu ya ushambuliaji ya Simba SC, akionyesha uwezo mkubwa wa kutengeneza na kufunga mabao tangu alipojiunga na miamba hiyo ya Msimbazi.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons