Kagera Sugar yacharuka
Timu ya Kagera Sugar ya Bukoba mkoani Kagera, imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mbeya City ya mkoani Mbeya katika mchezo wa Ligi Kuu bara.
Kagera Sugar walichowafanya Mbeya City wakianza kwa header ya Emmanuel Mvuyekure, kabla ya Mudathir Said Abdullah kupiga mawili makali…
La kufutia machozi nalo lilikuwa la moto kutoka kwenye guu la Hassan Ali Cheda. Mechi imepigwa Sokoine Stadium, Mbeya.
