Jakaya Kikwete na historia ya Nachingwea

Na Shafih Matuwa

Amezaliwa Msoga Bagamoyo Oktoba 7, 1950 lakini baba yake Mzee Mrisho Kikwete alikuwa District Commissioner wa wakoloni na baadaye Regional Administrative Secretary -na kwa hiyo Kikwete tangu utoto alihama hama na babu yake Chifu Mrisho ndiye aliyemlea Msoga

Lakini historia yake na Nachingwea ni hii:

1986-1988 Miaka 2 CCM District Secretary Nachingwea Lindi

- 1981-1984 - Alikuwa CCM Regional Executive Secretary Tabora
- 1984-1986 - Alikuwa Chuo cha Uongozi Monduli na akawa Lt. Colonel - Jeshi*
- 1986 - Chama Cha Mapinduzi CCM kikamhamisha Nachingwea Wilaya ya Nachingwea Mkoa wa Lindi na kuwa Katibu wa Wilaya District Secretary

Huu ulikuwa ni wakati mgumu sana:

- Nachingwea 1986-1988 ilikuwa ni wilaya maskini sana hakuna barabara ya lami hakuna umeme na ilikuwa ngome ya Ujamaa vijiji vya Ujamaa vya Nyerere 1973-1976

Wazee wa Nachingwea Mzee Hassan Mfaume -Diwani wa zamani 1987 alisema 2015 JamiiForums:

"JK alikuja Nachingwea na baiskeli hakuwa na gari na alikaa nyumba ya CCM nyumba ya udongo na kila siku alitembea vijijini Naipanga, Ruponda, Mnero na kusikiliza kilio cha korosho"

Nachingwea pia ndiyo wilaya iliyomkutanisha na mke wake wa sasa Mama salma kikwete.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons