Huyu ndiye kiboko ya Masandawana
Anaitwa Agostinho Cristóvão Paciência Maarufu Kama Mabululu Anakipiga pale Wiliete Sport Clube de Benguela (Wiliete SC) inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini kwao Angola (Girabola).
Mshambuliaji huyu alijiunga na klabu hiyo mwezi Julai 2026 kwa mkataba wa miaka miwili baada ya kuondoka katika klabu ya Al Ahli Tripoli ya nchini Libya Jana aliisaidia Timu yake Kuwaondoa Masandawana Kwenye Champions League .....
