Honour Janza Mkurugenzi mpya wa klabu ya Simba


Hizi hapa sifa za Honour JANZA

- Mwalimu wa Mpira (Elite Instructor)

Ana UEFA B Licence na CAF A Licence. Ni mmoja wa waalimu wakubwa wa CAF wanaofundisha makocha wengine Afrika. Hii ndio sifa yake kubwa kuliko zote - sio kocha wa kukimbia tu pembeni, ni mwalimu.

- Anapenda Nidhamu na Teamwork

Alipokuwa na Zambia 2015 AFCON aliwakosoa wachezaji wake hadharani akawaita "selfish egos" - anachukia mchezaji anayecheza kwa ubinafsi. Anataka timu icheze kama timu moja.

- Ubongo wa Kiufundi (Technical Director)

Amefanya kazi kama Technical Director FAZ miaka 7 na ZESCO United. Hii inamaanisha anajua kutengeneza mfumo wa klabu kuanzia academy mpaka timu ya kwanza

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons