Harry Kane mshindi wa Ballon d' Or

Mshambuliaji wa Bayern Munich na timu ya taifa ya England, Harry Kane, ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or ya Mchezaji Bora wa Dunia kwa mwaka 2026.

Kane ametwaa tuzo hiyo katika hafla ya utoaji wa tuzo za Ballon d’Or 2026 iliyofanyika Oktoba 26, jijini London, Uingereza.

Baada ya msimu wa kipekee alioufunga kwa mabao 73 na asisti 8, ametwaa tuzo ya Ballon d’Or jijini London, alikozaliwa, huku pia akiwa ameshinda mataji ya Bundesliga, Kombe l
 Ujerumani na German Super Cup.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons