Gigy Money amtupia lawama mama yake mzazi

Msanii Gigy money ameendelea kumtupia lawama mama yake huku akisema inawezekana maisha magumu anayo yapitia sasa ni kutokana na malezi mabovu aliyo lelewa na mama yake.

Msanii Gigy money ameendelea kumtupia lawama mama yake huku akisema inawezekana maisha magumu anayo yapitia sasa ni kutokana na malezi mabovu aliyo lelewa na mama yake.

Pia Gigy amesema, mama yake alimzaa Kwa bahati mbaya Kwa sababu mimba yake aliitoa na kwenda kumtupa chooni ila Kwa bahati nzuri watu walipata habari wakaenda kumtoa chooni akiwa bado ana pumua.

Gigy ameendelea kusema kuwa, hizo habari zote alipewa na bibi yake na akaongeza Kwa kusema, mama yake na Gigy alipalalaiz baada ya kutoa mimba hiyo.

Mbali na hivyo pia, Gigy amesema ameanza kufukuzwa nyumbani akiwa na miaka 12 tu huku mama yake akimsingizia kuwa anatoka na bwana wake (baba wa kambo).


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons