Duke Abuya alivyo sasa
Kiungo wa Yanga SC, Duke Abuya, anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa mwezi mmoja na wiki moja huku akiendelea na matibabu ili kurejea kwenye ubora wake.
Wananchi wanamsubiri kwa hamu kiungo wao arejee akiwa fiti zaidi na tayari kuendelea kuitumikia timu yake.
