Droo ya makundi kupangwa Jtano
Jumatano hii, Oktoba 28, itafanyika droo ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika.
Uchambuzi wa droo hii utaanza saa 7:00 mchana na utakuwa mubashara kupitia AzamSport1HD.
Usikose kufatilia droo hii ili kujua Yanga SC, Simba SC, AzamFC na Singida BS zitaoangwa na timu gani.
